歌詞
petero wa kwanza tano,petero wa kwanza tano mtunzi ni ngash
Mimi ninawaomba wazee wa kanisa, ninawaomba wazee wa kanisa
mimi ambaye pia ni mzee na shahidi wa mateso ya Kristo, mzee na shahidi wa mateso ya Kristo
na nitakayeshiriki utukufu utakaofunuliwa,nitashiriki utukufu utakaofunuliwa
Lichungeni kondoo la Mungu lililo kwenu kwa kupenda kwenu,kondoo la mungu kwa mapenzi yenu
si kwa kulazimishwa wala kwa tamaa ya fedha,sio kwa tamaa sana sana
bali kwa moyo wa kupenda,kwa moyo wa mapenzi
Pre-Chorus
Hakuna upendo kama wako Yesu
yesu Hauishi wala hauchoki
yesu Katika giza unatubeba
yesu wetuTunakungoja uje tena
Chorus
Yesu upendo wako wadumu milele,yesu mwenye pendo kuu
umetupea amani yesu,amani isiyo ya dunia yesu wetu
Yesu upendo wako wadumu milele,yesu mwenye pendo kuu
yesu kipenzi cha wanadamu wote bila ubaguzi,yesu wetu
verse
Mimi ninawaomba wazee wa kanisa, ninawaomba wazee wa kanisa
Msiwatawale watu wa Mungu kwa nguvu ama kifua,sio kwa nguvu wala kifua
bali muwe mfano mzuri kwao, muwe mfano mzuri kwao
Na Mchungaji Mkuu atakapokuja yesu mwenyewe, atakapokuja yesu mwenyewe
mtapokea taji ya utukufu isiyoharibika,taji isiyoharibika
Chorus
Yesu upendo wako wadumu milele,yesu mwenye pendo kuu
umetupea amani yesu,amani isiyo ya dunia yesu wetu
Yesu upendo wako wadumu milele,yesu mwenye pendo kuu
yesu kipenzi cha wanadamu wote bila ubaguzi,yesu wetu
verse
Vivyo hivyo ninyi vijana,ninyi vijana
vijana watiini wazee,watiini wazee vijana
Ninyi nyote muwe wanyenyekevu kwa kila mmoja,wanyenyekevu kwa kila mmoja
kwa maana Mungu huwangusha wenye kiburi, Mungu huwangusha wenye kiburi
lakini huwapa neema wanyenyekevu, huwapa neema wanyenyekevu
Jinyenyekezeni chini ya mkono wenye nguvu wa Mungu, mkono wenye nguvu wa Mungu
ili awainue kwa wakati wake,kwa wakati wake
Chorus
Yesu upendo wako wadumu milele,yesu mwenye pendo kuu
umetupea amani yesu,amani isiyo ya dunia yesu wetu
Yesu upendo wako wadumu milele,yesu mwenye pendo kuu
yesu kipenzi cha wanadamu wote bila ubaguzi,yesu wetu
verse
Mtupieni Mungu mahangaiko yenu yote, Mtupieni mahangaiko yenu yote
kwa sababu anawajali.kwa sababu anatujali.
Muwe makini na muwe macho kwa maombi, muwe macho kwa maombi
kwa sababu adui yenu shetani huzunguka kama simba,shetani huzunguka kama simba
kama simba anayenguruma akitafuta mtu wa kummeza,a akitafuta mtu wa kummeza
Mpingeni kwa imani imara,Mpingeni kwa imani imara
mkijua kuwa waumini wengine duniani wanapitia mateso kama hayo,wanapitia mateso kama hayo
Chorus
Yesu upendo wako wadumu milele,yesu mwenye pendo kuu
umetupea amani yesu,amani isiyo ya dunia yesu wetu
Yesu upendo wako wadumu milele,yesu mwenye pendo kuu
yesu kipenzi cha wanadamu wote bila ubaguzi,yesu wetu
verse
Mungu wa neema yote,Mungu wa neema yote
aliyewaita kwenye utukufu wa milele kupitia Kristo Yesu,utukufu kupitia Kristo Yesu
baada ya kuteseka kwa muda mfupi, kuteseka kwa muda mfupi
atawafanya imara,atawafanya imara
awatie nguvu,awatie n
音樂風格
A joyful emotional Afro-gospel worship song in B♭ Major at 113 BPM. Warm passionate lead vocals with soft choir backup harmonies on every line and strong choir responses in the chorus. Style blends modern worship, Afro praise, and soft rock ballad energy. Use emotional piano, ambient pads, cinematic strings, clean electric guitar with delay, warm bass, live worship drums, African percussion, and layered choir vocals. Start intimate and emotional, then gradually build into a powerful uplifting chorus with explosive energy and spiritual atmosphere. Add an emotional bridge and a huge final chorus with full instrumentation and rich harmonies. Production should sound cinematic, spacious, inspiring, radio-quality, with bright clear vocals, deep warm bass, wide stereo mix, emotional reverb, and a victorious worship mood.